MAAGIZO– Kapsabet Boys Trial 1 karatasi la kwanza

a.   Andika insha mbili.Insha ya kwanza ni ya lazima.

b.   Chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia

c.   Kila insha isipungue maneno 400

d.   Kila insha ina alama 20

1.   Mhariri wa jarida la shule yako ameamua kuchapisha habari kukuhusu.Andika tawasifu juu ya maisha yako tangu utotoni utakayomkabidhi mhariri huyo.

2.   Pendekeza njia za kukabiliana na ongezeko la visa vya utovu wa maadili miongoni mwa vijana katika jamii.

3.   Andika kisa kinachooana na methali“mchelea mwana kulia hulia mwenyewe’’

4.   Andika insha itakayokamilika kwa maneno haya.Mshtakiwa alimwangalia hakimu kwa macho ya huruma,kisha akamwangalia mkewe na wanawe akatamani kuwaomba msamaha lakini hukumu ilikuwa imetolewa.

Download Kiswahili Marking Scheme: Kapsabet Boys Trial 1

See also  KCSE Predictions Ushairi Questions And Answers- Shairi 16-20

By DOS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *