contact 0754238886 for Answers

Bembea Ya Maisha Questions and Answers

NGUU ZA JADI

QUESTION 1

  1.  Bainisha nguu mbalimbali zilizotinga maendeleo ya nchi ya Matuo kulingana na

riwaya ya Nguu za Jadi. (alama 20)

QUESTION 2

2. ‘‘Mrima, dunia yote inajua aliyemsaliti Yesu Kristo. Unajua mtu huyo aliishia wapi?

a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (alama 4)

b) Tambua mbinu mbili za kimtindo zinazojitokeza katika dondoo hili. (alama 4)

c) Fafanua namna wahusika walivyowaendea kinyume wenzao katika riwaya ya Nguu

za Jadi.

QUESTION 3

3. Riwaya: Nguu za jadi.

a) Changanua mbinu za kimtindo katika kifungu hiki. ( alama 5)

“Ama kweli,moto ule umenitia taflisi.Nitaishia kula mwande na wanangu.Huko ndiko kufa

kingoto,”Mangwasha alijisemea kwa huzuni,lakini akajipa moyo.Miaka huweza kutia ngozi ya mwili

makunyanzi.Mangwasha alikuwa na Imani ya kuishi.Imani hiyo uvumilivu na tumaini.Alivifungafunga vile

vitu,akawatazama tena wanawe waliolala sakafuni kwenye maabadi yale ya Mungu.Alikumbuka usiku huo

alipoingia humo na wanawe kupitia kwa dirisha lililokuwa wazi.Hata alipofaulu,bado alihisi wale watu

wanamfuata humo.

b) Eleza kilichokuwa kimesababisha matukio haya. ( alama 4)

c) Eleza umuhimu wa mandhari ya sura ya pili katika riwaya ya Nguu za jadi. (alama 5)

d) “Alifunzwa kutotumia sifa zake za kike alizokirimiwa na muumba kustarehesha wanaume ili

kujinufaisha.”

i. Eleza muktadha wa dondoo hili. ( alama 4)

ii. Kwa kutolea mifano,onyesha jinsi baadhi ya wahusika wa kike wanavyotumia sifa za kike

kujinufaisha kutokana na wanaume. ( alama 2)

QUESTION 4

Eleza namna maudhui ya  ubinafsi yalivyoshughulikiwa katika riwaya hii.        (Al.20).

QUESTION 5

Mwanao? Mimi mwanao mimi? Tangu siku ile uliyonila kivuli, mimi si mwanao tena……’

See also  Form 3 Term 1 Holiday Assignment -April

a) Weka dondoo hii katika muktadha wake       (Al.4)

b).Tambua na ueleze tamadhali mbili za usemi zilizotumiwa katika dondoo hii. (Al.4)

c). Taja na ueleze sifa za msemaji.    (Al.6)

d). Taja na ueleze umuhimu wa msemewa.        (Al.6)

By Genius

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *