GET THE KCSE PREDICTION KISWAHILI P1 MARKING SCHEMES HERE
Bunyore
MASWALI .
1.Wewe ni chifu wa Kata ya Mwangaza. Umeandaa mkutano wa wanakata wako. Andika hotuba utakayo toa kuhusu mambo yanayoathiri utangamano wa kitaifa na hatua zinazoweza kuchukuliwa.
2.Fafanua hatua ambazo zimechukuliwa nchini ili kukabiliana na tatizo la unyanyasaji wa jinsia ya kike.
3.Andika insha itakayo dhihirisha maana ya methali hii.
Ukicheza ujanani utalipa uzeeni
4 .Andika kisa kitakacho malizikia kwa maneno yafuatayo.
…sasa ninaelewa maneno yake kuhusu kufanya maamuzi ya busara. Sasa nimepata baraka za wazazi na ridhaa yakuishi pamoja.