KCSE Predictions Ushairi Questions And Answers- Shairi 1-5
KCSE Predictions Ushairi Questions And Answers- Shairi 6-10 USHAIRI WA 1 Soma shairi lifuatalo kwa makini halafu ujibu maswali yanayofuata Naja nirudi nyumbani, nilowekwa nako kando Kwetu’ mi nakutamani, kulo na mwingi uhondo Nijaye ni yule nyundo, misumari hadharini Huenda nende kwinginepi, sawa nako kwa muundo? Kaa kwingine anapi, ela kwenye lakwe gando? Nijaye ni … Read more