Download All Documents- (Ksh 299) Full Day
Hurry during this Offer

Form 4 Kiswahili Paper 1 Endterm 1 Exam 2023

Get the Answers hereĀ Form 4 End Term 1 Exams 2023 Questions and Answers

MASWALI

1.       Wewe ni mhariri wa gazeti la Msemakweli. Andika tahariri kuhusu athari za baa la njaa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tatizo        hili.

2.       Matumizi ya afyuni katika taasisi za masomo nchini ni suala muhali    kutatuliwa. Jadili.

3.       Andika kisa kinachothibitisha ukweli wa methali: Mtaka yote hukosa yote.

4.       Tunga kisa kinachoanza kwa maneno haya:

          Ilinichukua muda mrefu kusadiki niliyoyapata…

Leave a Comment